Ufadhili wa USAID waathiri usambazaji wa kondomu

  • | Citizen TV
    227 views

    Wasiwasi umeibuka nchini kuhusiana na utoshelezaji wa kondomu nchini, baada ya serikali ya Marekani kusitisha ufadhili wake kupitia shirika la USAID. Sawa washikadau katika sekta ya afya wakiitaka serikali kuondoa ushuru kwa mipira hiyo ili kukabiliana na uhaba wake nchini.