Tyson Muindi alitoweka safarini kuelekea Naivasha

  • | Citizen TV
    1,826 views

    Uchunguzi wa mwili wa dereva wa teski aliyeuawa tyson muindi umebaini kuwa aliuawa kwa kupigwa na kifaa butu kichwani na pia kunyongwa kwa kutumia waya. Muindi alitoweka baada ya kukodishwa kuwasafirisha wateja kutoka jijini Nairobi hadi Naivasha.