NACADA: 45% ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni waraibu dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    394 views

    Zaidi ya Asilimia 45 ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamewahi kunywa pombe na hata kutumia dawa za kulevya. Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kitaifa la kupambana na dawa za kulevya la NACADA inayoripoti kuwa uraibu huu umeendelea kuongezeka miongoni mwa wanafunzi wa kike