Wakenya wanalalamikia kutopokea pesa za uzeeni

  • | Citizen TV
    577 views

    Hazina ya malipo ya uzeeni nchini imepewa miezi miwili kushughulikia malipo ya watu 144 waliowasilisha malalamishi yao mbele ya tume ya utekelezaji wa haki. Tume hii ikisema kuwa kuna baadhi ya watu wanaodai malipo ya uzeeni kwa hata zaidi ya miaka 20 bila mafanikio