Ferdinard Waititu ahukumiwa kifungo cha miaka 12 gerezani

  • | KBC Video
    2,588 views

    Aliyekuwa gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka-12 gerezani au alipe faini ya shilingi milioni-53.4 baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye sakata ya ufisadi ya shilingi milioni-588. Mahakama hiyo ya kesi za ufisadi vile vile imemzuia gavana huyo wa zamani wa Kiambu pamoja na washtakiwa wenza watatu kushikilia afisi yoyote ya umma kwa muda wa miaka-10 ijayo.Maelezo zaidi ni katika kitengo cha mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive