Mafuriko ya rangi nyekungu kisiwa cha Hormuz

  • | BBC Swahili
    2,993 views
    Mvua za hivi karibuni nchini Iran, zimesababisha maji ya mafuriko yenye rangi nyekundu katika kisiwa cha Hormuz kilicho katika Ghuba ya Uajemi. - Je rangi nyekundu inatokana na nini? Veronica Mapunda anatathmini uhusiano kati ya madini mengi yanayopatikana katika kisiwa hiki na rangi ya maji. - - - #bbcswahili #iran #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili