Masoko yaendelea kuporomoka kwa ushuru wa Trump

  • | BBC Swahili
    5,395 views
    Soko la hisa nchini Marekani limefuata masoko mengine ya hisa ulimwenguni kwa kuporomoka baada ya China kulipiza kisasi kwa Marekani baada ya Rais Donald Trump kuongeza ushuru. Masoko ya hisa barani Asia na Ulaya yameporomoka kwa siku ya pili mfululizo katika siku ya mwisho ya mauzo wiki hii.