Kipindi Maalum: Mwezi mmoja wa Utawala wa Donald Trump

  • | BBC Swahili
    1,471 views
    Akiwa anaenda kutimia mwezi mmoja tangu alipoapishwa Rais wa Marekani Donald Trump, kuna mengi yameshajitokeza mbayo kwa namna moja ama nyingine yameligusa bara la Afrika hasa katika sekta ya afya na sekta nyinginezo. - BBC itakuletea mjadala mzito utakaolenga kuyaangazia yale yote ambayo yamekwisha jitokeza, ikiwa ni pamoja na sera za Marekani, Uchumi na mengine mengi. - Jiunge nasi Alhamis kuanzia saa 11 na nusu jioni hadi saa 12 na nusu jioni. - - - #Trump #bbcswahili #DonaldTrumpSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw