Viongozi wa Kaunti ya Samburu wametuma rambirambi zao

  • | Citizen TV
    44 views

    Wakizungumza katika hafla ya kutoa Shukrani Kwa wanafunzi waliofanya vyema huko Maralal viongozi walimtaja Chebukati kama Mwenyekiti aliyekuwa na msimamo katika kutekeleza majukumu yake katika tume ya uchaguzi