Wadanganyifu wa Uhamiaji Uingereza wafichuliwa

  • | BBC Swahili
    2,155 views
    #BBCAfricaEye inafuatilia kwa siri mawakala wadanganyifu wa masuala ya uhamiaji wanaochukua maelfu ya pauni kutoka kwa wahamiaji wanaotamani kupata kazi Uingereza. #bbcswahili #bbcafricaeye #uingereza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw