Hospitali za kibinafsi kusitisha huduma za SHA kesho

  • | Citizen TV
    94 views

    Chama cha Hospitali za kibinafsi RUPHA kimeondoa huduma kwa wanachama wote wa SHA na kampuni ya wasimamizi wa dawa, MAKL