Francis Kimanzi asema kuahirishwa kwa CHAN ni fursa kwa wachezaji

  • | NTV Video
    100 views

    Kaimu Kocha mkuu wa Harambee Stars Francis Kimanzi amesema kwamba kuahirishwa kwa dimba la CHAN ambalo lingefanyika Mwezi huu wa Februari, kunatoa fursa nzuri kwa ligi za mataifa husika kuisha na kuwaruhusu wachezaji kutoa huduma zao kikamilifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya