Wanaharakati waandamana Nairobi wakitaka Kizza Besigye aachiliwe

  • | NTV Video
    735 views

    Wanaharakati kutoka mashirika ya kutetea haki za binadamu yakiongozwa na Amnesty International Kenya, waliandamana jijini Nairobi mapema leo, wakitaka kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, anayekabiliwa na mashtaka ya uhaini, aachiliwe.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya