Makali Ya Bodaboda Nchini Yamtisha Seneta Wa Kakamega Aliyependekza Mswada Huo

  • | TV 47
    420 views

    Makali Ya Bodaboda Nchini Yamtisha Seneta Wa Kakamega Aliyependekza Mswada Huo

    Seneta Wa Kakamega, Dkt. Boni Khalwale, ametangaza kuwa ataufutilia mbali mswada aliokuwa amewasilisha bungeni kuhusu sheria ya kudhibiti sekta ya bodaboda.

    Uamuzi huu unajiri baada ya mswada huo kuzua hisia kali miongoni mwa waendeshaji bodaboda, ambao walihisi kuwa sheria hizo zingewakandamiza.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __