Maadhimisho ya miaka 3 ya vita Ukraine, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    6,311 views
    Hii leo ni maadhimisho ya miaka mitatu tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine. Sasa leo viongozi wa Ulaya na washirika wengine wamekutana mjini Kyiv ili kuhakikisha mshikamano wao - na kutangaza msaada zaidi wa kijeshi na kifedha. Akizungumza katika mkutano huo, rais wa Ukraine Voldymyr Zelensky amepongeza "upinzani" na "ushujaa kamili" wa Waukraine na kutoa wito wa amani ya muda mrefu.