Wenye ulemavu wahamasishwa

  • | Citizen TV
    209 views

    Kama njia moja ya kuleta usawa katika jamii Kwa maswala ya ulemavu, wakilishi wadi Katika kamati ya ulemavu wamefanya kongamano Na washika dau ili kutafuta suluhu ya KUwashughulikia watoto Na wanawake walio na Ulemavu katika jami