Kongamano la kimataifa kuhusu ulemavu laandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    12 views

    Washikadau katika sekta ya watu walio na ulemavu, wanataka hatua za haraka zichukuliwe kusuluhisha changamoto ya ufadhili inayokabili mipango ya kusaidia kundi hilo. Huku majadiliano hayo yakiendelea katika mkutano wa kimataifa kuhusu ulemavu , wataalam wanaonya kwamba, uhaba wa fedha za kuwafadhili mamia ya watu walemavu utaendelea kuwa kizuizi katika sekta za afya, ajira, pamoja na elimu ikiwa hali hiyo itaendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive