Gavana Ayacko alalamikia kuondolewa kwa ufadhili wa USAID.

  • | Citizen TV
    327 views

    Gavana wa Kaunti ya Migori Ochillo Ayacko amehutubia bunge la kaunti hiyo katika hotuba yake ya pili tangu aingie madarakani 2022