Ripoti imefichua kwamba idadi kubwa ya wakazi wa Trans Nzoia waishi maisha ya hali duni

  • | NTV Video
    202 views

    Idadi kubwa ya wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wanaishi maisha ya hali duni kwa kukosa makazi bora huku ripoti kutoka idara ya nyumba ya mwaka 2024 ikionyesha kuwa kaunti hiyo ina takriban mitaa 65 ya mabanda.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya