Shughuli zatatizwa barabara ya Nyahururu - Maralal

  • | Citizen TV
    2,846 views

    Shughuli za uchukuzi zilitatizika kwa saa kadhaa katika barabara kuu ya Nyahururu - Maralal kufuatia maandamano ya kulalamikia kuzorota kwa usalama katika eneo la Kisima, Samburu magharibi. Polisi walilazimika kuingilia kati utuliza hali kwenye maandamano haya