Waziri wa afya ajipata pagumu bungeni kueleza utekelezaji wa SHA

  • | KBC Video
    109 views

    Waziri wa Afya Dkt. Deborah Barasa leo alikabiliwa na wakati mgumu katika bunge la Seneti wakati maseneta walipotaka kufahamishwa kuhusu kujiandaa kwa serikali kutekeleza huduma ya afya ya Taifa CARE na halmashauri ya afya ya jamii-SHA. Waziri alijipata taabani kuelezea athari za kujiondoa kwa hospitali za kibinafsi na zile za kidini kutoka kwa halmashauri ya SHA, kutengwa kwa wafanyikazi wa serikali kutoka kwa vituo vya afya vya kibinafsi na changamoto za mara kwa mara za ufadhili zinazotishia ufanisi wa mpango huo. Kikao hiki kinawadia huku wananchi wakiendelea kulalamika kuhusu utendakazi wa SHA.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive