Kesi kuhusu ubabe bungeni kuamuliwa 21 Machini

  • | KBC Video
    108 views

    Mahakama ya Rufani imeratibisha tarehe 21 mwezi Machi kuwa siku ya kutoa uamuzi wa ikiwa itadumisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliotangaza chama cha Azimio kuwa mrengo wa walio wengi katika Bunge la Kitaifa au la. Hii ni baada ya Spika Moses Wetang’ula, kupitia wakili Elisha Ongoya, kuitaka mahakama kusitisha uamuzi huo uliotolewa mapema mwezi huu. Wakati uo huo, Gavana wa Migori Okoth Obado amepewa fursa ya kujitetea kwa siku tatu Mfululizo kuanzia mwezi Aprili baada ya mahakama kuamuru kwamba ana kesi ya kujibu kuhusu mauaji ya aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Sharon Otieno mwezi uliopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive