Vinara wa vyama vya upinzani wasisitiza ari yao ya kubuni muungano utakaopambana na Ruto 2027

  • | K24 Video
    83 views

    Vinara wa vyama vya upinzani wamesisitiza ari yao ya kubuni muungano utakaopambana na rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027. Vinara hao waliohudhuria hafla ya kuzinduliwa rasmi kwa chama cha People’s Liberation cha Martha Karua, wamemkosoa vikali Rais Ruto kufuatia kudorora kwa uchumi wa taifa na kwa kushindwa kutekeleza manifesto yake.