Wahudumu wa UHC waandamana Kwale

  • | Citizen TV
    233 views

    Tukisalia kwenye masuala ya afya, Wahudumu wa afya walio kwenye mpango wa afya kwa wote (UHC) kutoka Pwani pia wameendelea kushinikiza serikali kuwaajiri kwa mkataba wa kudumu. Wahudumu hao ambao wameandamana katika kaunti ya Kwale wakitaka kulipwa marupurupu yote wanayodai tangu waajiriwe mwaka wa 2020.