Wahudumu wa afya kutoka kaunti za Kajiado, Narok, Nairobi na Kiambu wagoma

  • | Citizen TV
    262 views

    Tukisalia kwenye masuala ya afya, Wahudumu wa afya kutoka kaunti za Kajiado, Narok, Nairobi na Kiambu walio chini ya mpango wa afya kwa wote - (UHC) wamefanya maandamano Katika Kaunti ya Kajiado wakilalamikia kunyanyaswa Na kutopewa haki zao.