Vuguvugu la mabaraza ya wazee wa jamii labuniwa

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya mabaraza 20 ya wazee kutoka jamii mbalimbali za humu nchini yameshirikiana kubuni chama cha kitaifa cha mabaraza ya wazee .Vuguvugu hilo kwa jina Mapatano linanuia kuimarisha umoja na kuhimiza uwiano miongoni mwa jamii za humu nchini . Wakiongea wakati wa kutawazwa kwa mwenyekiti wa kitaifa wa vuguvugu la mapatano , wazee hao waliidhinisha kanuni zitakazowaongoza wakisema kuwa lengo kuu la vuguvugu hilo ni kudumisha amani , mshikamano na utangamano wa jamii za humu nchini .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive