Maendeleo mashinani : Hazina ya CDF Narok Mashariki yazaa matunda

  • | KBC Video
    3 views

    Wakazi wa kaunti ndogo ya Narok Mashariki wamesifia uongozi wa mbunge wa eneo hilo Lemanken Aramat kuhusu utumizi wa fedha za hazina ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge-NGCD. Wakazi hao waliodai kuwa eneo hilo lilikua limesalia nyuma kimaendeleo sasa wamekiri kuwa kiwango cha elimu kimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa muundo msingi shuleni utoaji misaada ya masomo kwa maelfu ya wanafunzi kutoka familia masikini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive