Dentsu yazindua shule ya kuwaendeleza wabunifu wa maudhui nchini Kenya

  • | K24 Video
    8 views

    Ni habari njema sasa kwa wabunifu wa maudhui nchini kenya baada ya Dentsu school of influence kuzindua rasmi shule ya wanaotumia mitandao. Shule hiyo itawawezesha wabunifu hao kuboresha vipaji vyao na kutoa mafunzo nasaha.