Mshindi wa Oscar Zoe Saldana

  • | VOA Swahili
    6 views
    Mastaa wengi akiwemo mshindi wa Oscar Zoe Saldana alijitokeza katika zulia jekundu kwa ajili ya maonyesho ya Vanity Fair Oscars kwa tafrija Jumapili (Machi 2). Walioungana na Saldana ni muigizaji bora mteule Colman Domingo na pia muimbaji Miley Cyrus na muigizaji Lindsay Lohan. Baada ya sherehe za Tuzo za Academy Awards, washindi kadhaa huwa na kawaida ya kuungana na wanaosherehekea katika tukio la kifahari la maonyesho ya Vanity Fairs kufurahia mafanikio yao. #mastaa #vanityfairoscars #oscar #mshindi #zoesaldana #zuliajekundu #burudani #voa #voaswahili #colmandomingo #mileycyrus #lindsaylohan