Kukomesha ujangili : Majangili waasi uovu Kaskazini mwa Kenya

  • | KBC Video
    3 views

    Mkakati wa miaka miwili unonuiwa kukomesha ujangili na wizi wa mifugo eneo la Kaskazini mwa Kenya umeanza kuzaa matunda huku majangili wakiasi vitendo vyao na kubadilika kuwa wafanyabiashara na mabalozi wa amani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive