Gavana Sakaja na Douglas Kanja wafika bungeni leo

  • | Citizen TV
    1,836 views

    Wafanyakazi wawili wa kaunti ya Nairobi wamefutwa kazi kuhusiana na tukio la kisasi cha kumwaga taka kati ya kaunti hii na kampuni ya kusambaza nguvu za umeme ya Kenya Power