Gavana Sakaja asema makubaliano yameafikiwa baina ya Kaunti ya Nairobi na Kenya Power

  • | TV 47
    27 views

    Gavana Sakaja asema makubaliano yameafikiwa.

    Sakaja: Deni la kaunti la stima ni shilingi milioni 800 pekee.

    Sakaja ameomba msamaha juzi kwa suitafahamu hii.

    Malori ya Kaunti ya Nairobi yalimwaga taka nje ya Stima Plaza.

    KPLC na Kaunti ya Nairobi zinadaiana.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __