Je, wewe ni dereva anayependa kuendeshakwa kasi?

  • | BBC Swahili
    265 views
    Sasa ukija jijini Nairobi kuwa makini! Baadhi za Barabara kuu jijini Nairobi zimewekwa kamera za kuthibiti mwendo kasi kwa madereva. Mwanahabari wa BBC @shuayib.ibrahim anaangazia leo juu ya mradi huu wenye lengo la kupunguza ajali - - #bbcswahili #usalama #barabara #nairobiSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw