Benni McCarthy atambulishwa kama Kocha rasmi wa Harambee Stars

  • | TV 47
    21 views

    Kandarasi ya Benni McCarthy ni ya miaka 2.

    Kocha msaidizi ni Vasili Manousakis.

    Moeneeb Josephs ni Kocha wa Walinda lango.

    Pilela Maposa kama mchambuzi wa matokeo.

    Kenya kuchuana na Gambia kwenye mechi za kufuzu Dimba la Dunia

    Kenya kuialika Gabon nyumbani tarehe 24 mwezi huu.

    Kenya wamo kundi B na alama 5.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __