Ukraine amtegemee nani kujilinda vitani?

  • | BBC Swahili
    740 views
    Rais Trump ametoa kauli yake kuhusu ufadhili wa kivita Ukraine, huku muungano wa Ulaya na Uingereza wakisema kwamba watasimama na Ukraine kulinda utaifa wake. Je, Ukraine atapona na kupata nguvu za kukabiliana na Urusi bila ya Marekani? @RoncliffeOdit anachambua kwa kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #ukraine #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw