Dira ya kaunti : Taarifa kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    18 views

    Polisi katika kaunti ya Kericho wanachunguza kifo cha mwanamume wa umri wa miaka 30 ambaye mwili wake ulipatikana kando ya barabara katika kijiji cha Chepkolon viungani mwa mji wa Kericho. Inasemekana marehemu alikuwa mkazi wa eneo hilo. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive