Wawakilishi wa hospitali za kibinafsi wahojiwa.

  • | Citizen TV
    180 views

    Mkaguzi wa hesabu za serikali Dkt Nancy Gathungu amekuwa mbele ya kamati ya uhasibu katika bunge la seneti akitetea ripoti yao, iliyobaini mapengo kwenye ununuzi wa mfumo wa kidijitali unaotumika kwa bima ya serikali ya SHA