Wahudumu wapokezwa baiskeli za usafiri eneo hili

  • | Citizen TV
    159 views

    Serikali ya kaunti ya Busia imewafadhili baiskeli za usafiri wahudumu wa afya 350 wa kaunti eneo la Teso Kaskazini ili kurahisisha shughuli zao za utoaji huduma