Polisi Kaunti ya Machakos wanachunguza mauaji

  • | Citizen TV
    670 views

    Mlinzi wa usiku aliyekuwa nje ya duka la nguo eneo la Muthini ndani ya Mji wa Machakos amepatikana ameuawa na majambazi