Wafanyabiashara wafanya maandamano mjini humo

  • | Citizen TV
    249 views

    Wafanyibiashara katika soko la Nanyuki wameandamana kulalamikia ujenzi wa vibanda katikati mwa mji wa Nanyuki unaofanywa na serikali ya kaunti ya Laikipia