Wahudumu Wa Bodaboda Busia Walaani Kuchomwa Kwa Gari La Polisi Kufuatia Ajali Iliyohusisha Mmoja Wao

  • | TV 47
    80 views

    Wahudumu Wa Bodaboda Busia Walaani Kuchomwa Kwa Gari La Polisi Kufuatia Ajali Iliyohusisha Mmoja Wao

    Wahudumu wa bodaboda mjini Busia wamejitokeza mapema hii leo na kulaani vikali kitendo cha kuchoma gari la polisi ambacho kilifanyika usiku wa kuamkia leo kufuatia ajali iliyohusisha mmoja wao.

    Ajali hiyo ilihusisha basi la abiria na wahudumu wa bodaboda ambapo mhudumu wa bodaboda aliaga dunia papo hapo

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __