Hustler fund huenda ikapoteza takriban ksh 8.7b

  • | Citizen TV
    1,342 views

    Hazina ya Hustler fund huenda ikapoteza takriban shilingi 8.7b kwa wakopaji ambao wamenonekana kuingia mitini baada ya kupokea fedha hizo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Kulingana na ripoti ya mhasibu mkuu Nancy Gathungu huenda pia hazina hiyo ikapoteza fedha kutokana na mikopo iliyojirudia ya kima cha ksh 1.6b.