Rais Ruto atetea bima ya afya ya SHA

  • | Citizen TV
    2,458 views

    Rais William Ruto ametetea bima ya afya SHA, na kutaja wapinzani wa bima hiyo kuwa miongoni mwa matapeli waliokuwa wakitumia hospitali feki kupata malipo ya bure. Akizungumza alipohudhuria mazishi ya mbunge wa Malava Malulu Injendi rais Ruto amesema mpango huo utaendelea na kuwataka wakenya kuendelea kujisajili.