Kitendawili cha ugonjwa Kisii

  • | Citizen TV
    1,745 views

    Wizara ya afya sasa inasema kuwa huenda ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri vijiji vitatu eneo bunge la Mugirango kusini kaunti ya kisii ulisababishwa na maji yasiyokuwa salama. Katibu wa afya ya umma Mary Muthoni amesema kuwa baadhi ya vyanzo vya maji eneo hilo ni chafu. Hata hivyo wakazi wanapinga kauli hiyo wakisema maji wanayotumia ni safi na salama. owever residents are disputing these preliminary findings.