Wakatoliki wahudhuria Misa za Jumatano ya Majivu

  • | KBC Video
    24 views

    Waumini wa kanisa katoliki kote nchini walikusanyika kwenye maabadi yao kuadhimisha mwanzo wa siku 40 za kipindi cha kwaresma. Kipidndi hicho ambacho hukariri zaidi kutubu, kuomba na kutoa sadaka huanzia kwa Jumatano ya Majivu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive