Mashindano ya WRC Safari Rally kufanyika tarehe 20 hadi 23 Mach, 2025 mjini Naivasha

  • | TV 47
    5 views

    Mashindano hayo kufanyika tarehe 20 Hadi 23 Machi.

    Madereva wa Kenya na Kimataifa kushiriki.

    Mashindano hayo kuandaliawa mjini Naivasha kaunti ya Nakuru.

    Thierry Neuville bingwa wa Dunia kushiriki WRC Safari Rally.

    Bingwa mtetezi Kalle Rovanpera kushiriki WRC.

    Ott Tanak na Adrien Fourmaux pia kushiriki WRC.

    Kampuni ya Betika yaekeza shilingi million 65.

    Betika yatambulisha madereva Ismael Azeli na Carl Flash Tudo.

    Vikosi vya idara tofauti za usalama kuzuru maeneo ya mashindano hayo.

    #TV47Matukio @Kilemi_Andrine @duncoaskofu_

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __