2025 03 06 19 18 41IEBC Yaomba Shilingi Millioni 536 Kugharamia Chaguzi Ndogo Nchini

  • | TV 47
    39 views

    IEBC Yaomba Shilingi Millioni 536 Kugharamia Chaguzi Ndogo Nchini

    Tume huru ya uchaguzi na uratibu mipaka IEBC inataka milioni 536 zaidi ili kugharamia chaguzi ndogo katika maeneo bunge na wadi humu nchini pamoja na kukarabati vifaa vya kupigia kura maarufu kiems kits wakiahidi kutekeleza chaguzi hizo katika mwezi oktoba endapo tume mpya itakuwa imeundwa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __