Raila aeendelea na ziara zake za mashauriano nchini

  • | Citizen TV
    2,003 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga ameendelea na ziara zake maeneo mbalimbali nchini huku akiitaka serikali kutatua kwa haraka mvutano unaogubika sekta ya afya na bima ya SHA. Raila aliyekuwa kaunti za Kisii na Narok pia akitaka mikakati zaidi kuwekwa kukabili ufisadi.