Vituo vya afya vya kidini vyataka deni la NHIF lilipwe

  • | KBC Video
    83 views

    Vituo vya afya vinavyomilikiwa na madhehebu mbali mbali ya kidini vimetoa makataa ya siku 14 vikitaka kulipwa mara moja kwa madeni yanayodaiwa bima ya NHIF na halmashauri ya afya ya jamii. Kulingana na vituo hivyo vya afya, kuna deni la shilingi bilioni 10 lillilolemaza majukumu ya kifedha kama vile kulipa mishahara ya wafanyakazi na wale wanaosambaza vifaa vya matibabu. Vituo hivyo vimeapa kusitisha utoaji huduma kwa wagonjwa wanaolipiwa ada ya matibabu na halmashauri ya SHA hadi matakwa yao yashughulikiwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive