Mashahidi zaidi wa kesi ya mauaji Shakahola waendelea kuelezea yaliyojiri

  • | Citizen TV
    2,244 views

    Mashahidi zaidi kwenye kesi ya mauaji ya Shakahola wamefika mahakamani wakisimulia namna mauaji yalivyopangwa msituni. Mmoja wa mashahidi hao anna kauchi amesimulia jinsi mamake na dadake walivyohadaiwa na mmoja wa washukiwa na kuangamizwa msituni.